T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Dah!!....Huyu dada huwa anashangaza sana, hivi hajui kuwa kuna watanzania maelfu walio hoi wasioweza hata kuongea au kuinuka vitandani?
Kwa Mtu mstaarabu anayejali kusaidiwa asingepaswa athubutu kusema hayo.
Ni kama wakati ule alipoumwa mwanzoni na kujitangaza akasaidiwa sana kisha akaenda tena kukata mauno na kujitonesha.
Kazi kujitonesha tu.
Asimkufuru Mungu.
Tupe elimu mkongwe ha ha ..Uvimbe kwenye kalio
Mgonjwa mwenyewe mshenzi,NILIKATAZWA NA MAMA YANGU NIKIWA MDOGO KUTOWADHIHAKI WALEMAVU ILA NIKUWASAIDIA IKIBIDI. NAMSHUKURU MAMA YANGU KWA MALEZI MEMA.
NINACHOKIONA HUMU KEJELI KWA MGONJWA TUMWOGOPE MWENYEZI MUNGU
Kishasema tayariNgoja tusubiri DADA MANGE atasemaje,,
Uvimbe kwenye kalio
HahàaaaaHiyo camera iliyowezesha kumtibia ni RED au??
Kisa ni maarufu, anatumia umaarufu wakeHuyu dada huwa anashangaza sana, hivi hajui kuwa kuna watanzania maelfu walio hoi wasioweza hata kuongea au kuinuka vitandani?
Kwa Mtu mstaarabu anayejali kusaidiwa asingepaswa athubutu kusema hayo.
Ni kama wakati ule alipoumwa mwanzoni na kujitangaza akasaidiwa sana kisha akaenda tena kukata mauno na kujitonesha.
Kazi kujitonesha tu.
Asimkufuru Mungu.
Imebidi aliuze kuongezea pesa ya matibabuHii sio camera, ni Gukamela