T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Dah!!....Huyu dada huwa anashangaza sana, hivi hajui kuwa kuna watanzania maelfu walio hoi wasioweza hata kuongea au kuinuka vitandani?
Kwa Mtu mstaarabu anayejali kusaidiwa asingepaswa athubutu kusema hayo.
Ni kama wakati ule alipoumwa mwanzoni na kujitangaza akasaidiwa sana kisha akaenda tena kukata mauno na kujitonesha.
Kazi kujitonesha tu.
Asimkufuru Mungu.
Eti kazi kujitonesha tu[emoji1]