Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha


Kumbe mama ulikkuwa na vitu hata vya kuuza?

Wengine wanakufa majumbani hana hata sufuria la kuweka dhamana apate 12,000 ya kununua dawa na malaria. Badala ya kulala mika ( Ninaona kama kuuza vitu vyako kwa afya yako vimekuuma kuliko uzuri wa wewe kupata afya), unapashwa kumshukuru Mungu na wote waliokuchangia.
 
Bora angerejea akawashukuru waliomchangia tu kuliko kusema hayo aliyosema.
Hayapendezi hata kidogo, Sasa ukisema fedha hazikutosha ikabdi uuze Mali zako kwani ulitumwa na ofisi kwenda kutibiwa kwamba ofisi ilitakiwa kusimamia kila kitu?
 
Ndio maana yule bwana ako wa humu ulimwambia ww muhindi sababu unakula sn pilipili
Ahahaaa ngoja nije PM kwanza umenikumbusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nina mpasuko kwenye moyo, naomba nichangiwe ili nikatafute tabibu wa moyo wangu hapo Kigali tu.[emoji174] [emoji174] [emoji174]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…