Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
Kuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dadaUna kamera ya kutosha kuhudumia matibabu yako halafu quality ya muonekano wa muvi ndiyo hii tuliyonayo?
Huu sasa uchokozi, mwenzio kauza camera kaponyesha nyumba ili aishi wewe unamdhihaki? Ulitaka auze na nguo za kuactia? Makubwa! Angejua watu wanavyouza mifugo, mashamba mpaka kuweka rehani vijana wao ili mradi watibiwe asingeleta hizi stori. Baba J. hakuongezea?
huna lolote...unafanya kazi kampuni gani? ili nije unipe hudumaKuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dada
ingia google uangalie kamera latest za Nikkon utaona bei yake na ndio hizo wanazotumia wasanii kwenye shooting zao. Huwezi kujua maana umezoea camera za elfu 50huna lolote...unafanya kazi kampuni gani? ili nije unipe huduma
Nimekuuliza unafanya kazi kampuni gani???? nijibu hapo TU.ingia google uangalie kamera latest za Nikkon utaona bei yake na ndio hizo wanazotumia wasanii kwenye shooting zao. Huwezi kujua maana umezoea camera za elfu 50
humu tunatumia ID fake so siwezi kukueleza hayo. Halafu wewe sijui ni mgeni humu JF na kwenye mitandao inaonekana mgumu sana kuelewaNimekuuliza unafanya kazi kampuni gani???? nijibu hapo TU.
tehhumu tunatumia ID fake so siwezi kukueleza hayo. Halafu wewe sijui ni mgeni humu JF na kwenye mitandao inaonekana mgumu sana kuelewa
Tazama hii Hasselblad H5D-200c
BINADAMU TUMEFIKIA DHIHAKA YA NAMNA HII KWA MTU ALIYEPATA AJALI YA MGUU NA NYINGINEZO. HIVI WATANZANIA TUMEFIKA HAPO.
MWENYEZI MUNGU AKUPE NAFUU BI WASTARA UPONE SHIDA ZA AFYA ZINAZOKUSIMBUA. AMIN
HahahahahahahahahUvimbe kwenye kalio