Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Una kamera ya kutosha kuhudumia matibabu yako halafu quality ya muonekano wa muvi ndiyo hii tuliyonayo?
Kuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dada
 
Hiyo kamera inashutigi nini tangu mwaka 2016?

Anyway, Wastara ana roho ngumu sana...mimi hata leo hii unigeuze niwe mwanamke siwezki kuwa na roho ya kitapeli/unafiki/Gudume kama yake.

Unatapeli nchi (Raisi ikulu...15M), gia ya kutusuuza ni kutuambia pesa hazikutosha...!!! risiti?LPO?D/O?

Only in Tanzania
 
Huu ni ujinga sasa. Unaweza kutamka hadharani kwamba umeuza kamera? Achunguzwe akili yake vizuri. Ugonjwa umefika kwenye ubongo. Siyo mzima huyu
 
Kuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dada
huna lolote...unafanya kazi kampuni gani? ili nije unipe huduma
 
Watanzania kwa kejeli, watu wamebarikiwa
mnataka risiti,kwani mlpomsaidia mliomba risiti ?
 
Aliulizwa akasema imetosha, hakuwa na bajeti ya huko kwan, alimjibu had mkuu imetosha, au anataka had mtaji
 
huna lolote...unafanya kazi kampuni gani? ili nije unipe huduma
ingia google uangalie kamera latest za Nikkon utaona bei yake na ndio hizo wanazotumia wasanii kwenye shooting zao. Huwezi kujua maana umezoea camera za elfu 50
 
ingia google uangalie kamera latest za Nikkon utaona bei yake na ndio hizo wanazotumia wasanii kwenye shooting zao. Huwezi kujua maana umezoea camera za elfu 50
Nimekuuliza unafanya kazi kampuni gani???? nijibu hapo TU.
 
Nimekuuliza unafanya kazi kampuni gani???? nijibu hapo TU.
humu tunatumia ID fake so siwezi kukueleza hayo. Halafu wewe sijui ni mgeni humu JF na kwenye mitandao inaonekana mgumu sana kuelewa
Tazama hii Hasselblad H5D-200c
 
Asee hii Habari ilinipita..Kumbe Magu Alimchangia 15M Ya Matibabu!! ..Ila Huyu Mwanamke alitakiwa Kushukuru tu..Habari Za Gharama na kuuza Vitu Zilikua Hazina Maana Wakati huu..
Ila Najiuliza ni nini kilimsukuma Mkuu kutoa 15M..Duuh..Ukizingatia Mshahara wa Mkuu ni Million 9 Kwa Mwezi..
 
huyu dada wanamuendekeza.Ye anadhani ni muhimu sana kwa taifa hili.Sijawahi kuona umuhimu wake,kuna watu wengi wanateseka na ni wa muhimu kuliko yeye.
 
BINADAMU TUMEFIKIA DHIHAKA YA NAMNA HII KWA MTU ALIYEPATA AJALI YA MGUU NA NYINGINEZO. HIVI WATANZANIA TUMEFIKA HAPO.

MWENYEZI MUNGU AKUPE NAFUU BI WASTARA UPONE SHIDA ZA AFYA ZINAZOKUSIMBUA. AMIN

Hadhihakiwi ila huyo mama Canula kageuza huo mguu kama mtaji pumbavu zake, alipoulizwa na Rais gharama za matibabu alizitaja ,pesa akapewa yote na watu wakamchangia.Matokeo yake kaenda kule akaanza kuigiza anatibiwa ,hatuja kaa sawa amerudi hata mwezi haujaisha eti pesa hazijatosha ,mara ana mpasuko kwenye fuvu, uvimbe wa kalio huku akionyesha kisanduku cha madawa hahahaha ambayo hata 300,000 bei haifiki.

Hongera Wastara bado kuna mazwazwa hadi huko unaweza kuyashika tena
 
Pole sana ndg yang,ndio maisha kkumbuka maomb pia ni tiba,mungu yup
 
Back
Top Bottom