McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
ndo maisha BONGOsasa KAUZA KAMERA TU NDO ANAIONEA UCHUNGU?
SO ANATAKA TUMLIPE?
AHAHAHAHAHAHAHA MSHATENGENEZEWA MAZINGIRA YA KUMCHANGIA TENA!
AHAHAHAHHAAAHAH DAH!
Anacho lauumu yeye. Kwy kampeni alitingisha wowowo mpaka akatonyesha mguuu, sasa ni jukumu la chama kumtibiaBora angerejea akawashukuru waliomchangia tu kuliko kusema hayo aliyosema.
Hayapendezi hata kidogo, Sasa ukisema fedha hazikutosha ikabdi uuze Mali zako kwani ulitumwa na ofisi kwenda kutibiwa kwamba ofisi ilitakiwa kusimamia kila kitu?
alishazoea kuhongwa kwahyo kuuza camera yake kulipia matibabu yake anaona ni kama kakoseaImebidi aliuze kuongezea pesa ya matibabu
Hoja yangu ni hii.Kuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dada
we mange acha umbeaRisiti tuone
Sijui wapi ambapo hatuelewani ila ngoja niache tuHoja yangu ni hii.
Kamera yenye uwezo wa kuchangia matibabu mbona quality za picha za muvi ni ndogo? Kwa sababu gharama inaendana na ubora.
Tangazo la pindua pindua kamera iliyohitajika haikuepo Bongo, waliikodi kutoka nje kwa siku milioni 5. Quality si umeiona?
Wa MuddyHuyu dada ni dini gani?
Multi million cameraCamera?