Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Huyu naye aache kutuchosha na uongo wake
 
Bora angerejea akawashukuru waliomchangia tu kuliko kusema hayo aliyosema.
Hayapendezi hata kidogo, Sasa ukisema fedha hazikutosha ikabdi uuze Mali zako kwani ulitumwa na ofisi kwenda kutibiwa kwamba ofisi ilitakiwa kusimamia kila kitu?
Anacho lauumu yeye. Kwy kampeni alitingisha wowowo mpaka akatonyesha mguuu, sasa ni jukumu la chama kumtibia
 
Hajielewi Huyo Wastara wenu.

That is the only word to judge from a wise.
 
Wastara embu mshukuru mungu na watanzania , kuna MTU amekosa hata laki tano ya upasuaji...wewe unawazia kamera , watanzania waliokuchangia hujui kiasi gani wametoili kukusaidia
 
Kuna camera zinafika mpaka milioni 20 ndugu yangu. Mie nina camera nilinunua milioni 12 nafanyia biashara ya upigaji picha. So nimemwelewa huyu dada
Hoja yangu ni hii.

Kamera yenye uwezo wa kuchangia matibabu mbona quality za picha za muvi ni ndogo? Kwa sababu gharama inaendana na ubora.

Tangazo la pindua pindua kamera iliyohitajika haikuepo Bongo, waliikodi kutoka nje kwa siku milioni 5. Quality si umeiona?
 
Sijui wapi ambapo hatuelewani ila ngoja niache tu
 
Wastara pole sana mama. Status ya matibabu yako mpaka sasa ikoje?
 
Back
Top Bottom