Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Huyu dada amawakosea nini watu??? pamoja n mateso ya maradhi yanayomsumbua lakini watu wanamdhihaki!!! kawakosea nini!!!?? basi huu ni mwezi wa kwaresma na msalaba wa Yesu unatembezwa katika kila nyumba basi tumieni nafasi hiyo kumsamehe dada wa watu.. hata kama wewe sii mkristo basi ukiona msalaba huo unapita jirani yako basi tumia nafasi hiyo kumsemehe huyu dada kama amewakosea na kama hajawakoea tubuni!!!!???
 
Yaani badala ashukuru hata kwa hiyo tiba, mapungufu mengine angeficha tuu, safari hii sijui kama atampata mtu!

Cannula yenyewe ilikuwa haileweki, watu tumeuchuna tu bado karudi eti hela haitoshi nimeuza mali zangu mara camera...daah I'm speechless!
 
Huyu dada amawakosea nini watu??? pamoja n mateso ya maradhi yanayomsumbua lakini watu wanamdhihaki!!! kawakosea nini!!!?? basi huu ni mwezi wa kwaresma na msalaba wa Yesu unatembezwa katika kila nyumba basi tumieni nafasi hiyo kumsamehe dada wa watu.. hata kama wewe sii mkristo basi ukiona msalaba huo unapita jirani yako basi tumia nafasi hiyo kumsemehe huyu dada kama amewakosea na kama hajawakoea tubuni!!!!???
Wewe ndio wastara nini
 
Sasa kma alikua na mali aliomba mchango wa nini si angeuza tu mali zake
 
Ikitokea akafafanua kuhusu Cannula kuelekea kwenye vidole mnitag please
 
Back
Top Bottom