Wastara atoa sababu ya ndoa yake na kigogo wa CCM kuvunjika


Utetezi wake hauna ' mashiko / maana ' mbele ya Watu waliojaaliwa upeo, maarifa, fikra na akili nyingi na Mwenyezi Mungu.
 
ZERO BRAIN.......Hivi Ungepeleka Risiti hauoni ingekuwa nzuri maana hizo fedha angerudishiwa hivyo zingesaidia familia zaidi kwenye mambo mengine.
 
KWAHIYO MUMEWE KUDAI RISITI ILI AKALIPWE PESA NA SERIKALI IWE NDIO SABABU YA KUACHANA
Inavyoonesha kutokana na maelezo ya huyo dada na ukimya wa aliyekuwa mume wake.
 
Wastara aache uongo mbona kipindi kile hakuongea kaja kuongea saiv baada ya shutuma za upigaji kwa kutumia ugonjwa mguu.

Sadifa alimpa pesa kiasi kikubwa za matibabu ndo maana akakubali ndoa ya haraka haraka.
Huyu dada sijui kawaje. Anatumia ugonjwa kama fimbo ya kuwapigia wengine. Sasa mumeo pia wamficha matumizi jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…