Wastara atoa sababu ya ndoa yake na kigogo wa CCM kuvunjika

Wastara atoa sababu ya ndoa yake na kigogo wa CCM kuvunjika

Alikaa hospitali siku tano na baada ya hapo Alienda Oman mwezi mzima akipost products za MARC kwa wateja na kuwaambia anashusha mzigo wa nguvu.

Insta inaumbua sana
Labda mihela ilimponya fasta, hakuhitaji tena tiba za Wahindi.
 
Mimi binafsi
NIKISHAMWONA MWANAMKE ANAJILIZALIZA HOVYO NA KUMPONDA MMEWE PAMOJA NA KUTOA SIRI ZAO ZA NDANI,,!!!!
Yaani hapo ndio napowakinai haaasa wanawake[emoji13]
Bora nikanunue Mdoli tu,nijilie kilaiiiiini tena kimyaa kimyaaaa,,!![emoji1321]
Mdoli, na siku ukiaga ghafla Limdoli lako nalo litaletwa hapo kaburini nalo litoe heshima zake za mwisho.
 
hali ngumu hadi ombaomba kidonda kafanya mtaji~~STAMINA
Mkuu umekumbusha issue fulani ambayo ya ukweli,kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa na kidonda mguuni alikuwa anavizia sana watu kwenye foleni za mataa Pale salenda alikuwa anakujia anakufungulia kidonda ili umtoe hela
Hehehe dah aise ni hatari sana

Ova
 
Haujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadi
KWAHIYO MUMEWE KUDAI RISITI ILI AKALIPWE PESA NA SERIKALI IWE NDIO SABABU YA KUACHANA
 
Yaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.

Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?

Aache ujinga
Huyu dada naona ana tatizo mahali,
Nasikia wiki moja kabla ya hili tukio lake ilitoka video anacheza muziki vizuri tu
Baada ya hapo akaanza drama za kulia hadharani asaidiwe.
Inavyosemekana tatizo lake linawezekana hapa hapa nchini kwani ni kubadilishiwa tu mguu.

Sasa ukijumlisha na hivyo alivyokataa kutoa risiti inawezekana wala hakwenda kutibiwa kweli.

Hilo siyo swala la kuachana na mume hata robo.
 
Mimi nilimuonea huruma sana kwa kusema wasanii wote kwa nini hawapazi sauti kumsaidia.?? Kumbe wanajua nyuma ya pazia
Inasemekana ana ndugu zake wanaoweza kumsaidia ila kila mtu amekaa pembeni.
 
Haujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadi
Kwani hiyo pesa ingerejeshwa si ingetumika tu hapo nyumbani?
 
Joyce Kiria mwingine huyu....mume mwenyewe ameshamalizana na TAKUKURU?
Wanawake wengine bora hata kupiga punyeto mtu ulale zako....namba hizi hatari sana JOYCE+WASTARA=<UTU
 
Nan anajua km wastara anaweza akawa amehusika na kifo cha mumewe sajuk, muda ni mwalimu mzuri, haiwezekani awe anakengeuka hivi kisa pesa, wanawake waone hiv hiv
 
Huyo malaya haumwi mguu hizo pesa anazochangiwa anakwenda kununuwa biashara uarabuni.

Kama kweli alikwenda kutibiwa risiti angekuwa nazo na angempa risiti ili wavute hiyo pesa ya bunge.

Atafute wajinga wenzake huko ccm ndio awadanganye.
Kwaiyo mange ni kiboko yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo dada wazazi wake hawakumfundisha kuwa huwa HATUONGEI WAKATI WA KULA? amekunja zaidi million kumi za mzee Kidevu, halafu anaanza kelele!
 
Back
Top Bottom