Wastara awaomba mashabiki kuungana naye makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki siku ya December

Wastara awaomba mashabiki kuungana naye makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki siku ya December

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua maalum ya Sajuki

sajuki.jpg
Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook.



“28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi wa kipenzi changu kipenzi chenu Sajuki tukutane kaburini kisutu kwa ajili ya dua ya pamoja…kwa Dar es salaam lakini dua rasmi ni 2.01.2014 Songea"..aliandika Wastara.
 
mkuu Money Stunna, tunapataje mawasiliano sasa?

au tunaenda enda tu with no info!

kama uko Dar es Salaam. jumamosi tarehe 28 .saa 3 asubuh nenda makaburi ya kisutu.
kutakuwa na dua ya marehemu
 
Last edited by a moderator:
tujitaid kubadil nyendo zetu tukishakufa hata dua sidhan kama zina mantik yoyote
 
Back
Top Bottom