Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Nasema hivo kwasababu.
1.Diamondi hakumwambia Wastara kuwa hana uwezo wa kumsaidia.
2. DIamondi ni msanii tajiri namba moja Tz, kwa hiyo kusema hawez toa msaada is non sense
3. Wastara siyo chizi hawe kuomba msaada ule anajua diamond hawez kutoa
4. Na nyie hamko kwenye Wakket ya diamond kusema alishindwa kutoa msaada( though hii ni non sense point)

Wastara alikuwa hahitaji milioni 100 jaman
Hebu someni hiyo article mtajua.
1.. Kama hakumwambia hana basi atakuwa alimwambia kitu ambacho hatukijui..
2. Utajiri wake hauhusiani na kutoa. Na wala haufanyi I we lazima kutoa. Mbona hakwenda kwa Mo. Bakhresa au Mengi?! Kuwa tajiri hakuna uhusiano wowote na kutoa .
3. Kwenda kuomba tena kwa mtu usiyekuwa na ukaribu naye ni UJINGA. Unataka msaada nenda kanisani kwako/Msikitini wanapokujua. Mie nikikuona tapeli utachukia?! Kuna watu wanaumwa nchi hii hawakimbii na mabakuli hovyo.. Na hiki kitu ni cha kukemea. Anafamilia washirikiane wabebe msalaba.. Kutwa kuwadhalilisha watu hawakukupa msaada ..ili?! Kila anayeumwa aende kwa tajiri akaombe?!
 
Duuh! Duuh! Anavyompamba hivyo me nikajua Sajuki kweli, kweli wanawake wana moyo
sajuki hakuwa na kitu "" alimkuta demu anavyake na alikuwa nimke wamtu "" akamuachisha kwa mumewe .."" na yule Jamaa inasemekana ndiye aliyewaroga roga mpaka kufikia hayo mabalaa waliyopitia ktika maisha yao .."" Mara ya kwanza waliapata ajali Boda+ wakiwa wote wawili na derev alikuwa ni sajuki "" hiyo ajali ndio ikapelekea wastara kukatwa mguu ..hapo ilikuwa kama miezi miwili ikiyopita wastara alikuwa ametoka kuachana na mumewe baada ya mahakama kuitengua ndoa yao "" nawaka gawana vimali vyao" ila mume wa wastara na familiavya wastara wakati huo walikuwa na Pesa ya kula kiasi ""
so demu alivyoachana na mumewe baada ya muda mfupi akafikwa na hiyo ajali alivyopelekwa muhimbili akakatwa mguu ..sajuki kujifnya kichwa akajifnya kumuoa baada ya miaka kama mi3 ya ndoa yao ndio sajuki akaanza kuumwa ule ugonjwa usiojulikana ..nadhani wakumbuka Jamaa alivyopitia mateso ya dunia. ..
hao ndio wanawake mkuu ""
nenda kichwa kichwa ufe mapema "
 
Back
Top Bottom