Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
1.. Kama hakumwambia hana basi atakuwa alimwambia kitu ambacho hatukijui..Nasema hivo kwasababu.
1.Diamondi hakumwambia Wastara kuwa hana uwezo wa kumsaidia.
2. DIamondi ni msanii tajiri namba moja Tz, kwa hiyo kusema hawez toa msaada is non sense
3. Wastara siyo chizi hawe kuomba msaada ule anajua diamond hawez kutoa
4. Na nyie hamko kwenye Wakket ya diamond kusema alishindwa kutoa msaada( though hii ni non sense point)
Wastara alikuwa hahitaji milioni 100 jaman
Hebu someni hiyo article mtajua.
2. Utajiri wake hauhusiani na kutoa. Na wala haufanyi I we lazima kutoa. Mbona hakwenda kwa Mo. Bakhresa au Mengi?! Kuwa tajiri hakuna uhusiano wowote na kutoa .
3. Kwenda kuomba tena kwa mtu usiyekuwa na ukaribu naye ni UJINGA. Unataka msaada nenda kanisani kwako/Msikitini wanapokujua. Mie nikikuona tapeli utachukia?! Kuna watu wanaumwa nchi hii hawakimbii na mabakuli hovyo.. Na hiki kitu ni cha kukemea. Anafamilia washirikiane wabebe msalaba.. Kutwa kuwadhalilisha watu hawakukupa msaada ..ili?! Kila anayeumwa aende kwa tajiri akaombe?!