Wastara: Kuvunjika kwa ndoa kumenipa amani, nikipata mtu niko tayari kuolewa tena

Aisee! unawapiga unasepa?! Wakati lengo lake la kukusigina limetimia, sina shaka na wewe ni wa mwambao.
kwani akisigina anaondoka nayo? au kuna unit zinapungua au anaongezekewa nini na mimi napungukiwa nini?
 
acheni aolewe .kwani inawahusu nini? mbona hao waoaji wa kila siku hamuwasemi.
wanaume hawastahili huruma yoyote ukiwapata unawapiga tu unasepa




Nami najilengesha kwako, kwa heshima na taadhima, KAMA WEWE NI MWANAMKE, naomba unipige kisha usepe! Naja pm.
 
huu ni uonevu wa wazi wa mwanamke .kumdiss wastara hapa na kumuacha muheshimiwa kuhusu hyo ndoa kuvunjika sio fair.wanaume wanachangia asilimia 90 ndoa kuvunjika ila lawama atatupiwa mwanamke
grow up meen
hyo muheshimiwa nae ana matatizo nae msemeni muecheni mdada wa watu kwa amani.
 
Nami najilengesha kwako, kwa heshima na taadhima, KAMA WEWE NI MWANAMKE, naomba unipige kisha usepe! Naja pm.
njoo uone kama huo moyo wako hujauokota vipande vipande kama glass ya kichina iliyodondoka ghorofani
 
Ndoa ya nne kaivunja na bado anaonewa??

Mbona huko alikoachika kawakuta wake wengine na kawaacha??

Labda ungesema ana nuksi, tumuogeshe maji ya mchele hapo ningekuelewa
 
Hyooo 90% uliipata kwa tafiti ipi uliyofanyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…