Wastara: Kuvunjika kwa ndoa kumenipa amani, nikipata mtu niko tayari kuolewa tena

Mmh anataka kuingia 'Guiness Record' au ni kutojitambua.
 
Hawa wanawake wa mwambao hawako serious na ndoa...

Sifa ya mwanamke ..kuolewa Mara nyingi ....wanaitwa Chuo ....wako wanafika hadi Chuo cha tano au mume au ndoa ya tano....nadhani KHADIJA KOPA keshafika mume watano....au Marehemu Mh Asha ..kiboko ya Jusa
 
Sasa mtu yuko chuo cha 5 kwa mfano.. Na katika kila chuo alikuwana mafiga 3.. Aiseee... Hiyo network ni pana kuliko Halotel
 
acheni aolewe .kwani inawahusu nini? mbona hao waoaji wa kila siku hamuwasemi.
wanaume hawastahili huruma yoyote ukiwapata unawapiga tu unasepa
Hata hivyo kwa wanawake hawahitaji huruma. Unakula papuchi unajikata.
 
Wastara-Juma.jpg

Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3.

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Wastara amesema mahusiano ya mapenzi ni kama mtu anavyoishi na rafiki yake, mkizinguana maachana.

“Binafsi kwa sababu ni muda mchache naumia kuwakarahisha mashabiki wangu kwa sababu hawamchukulii Wastara katika stori hizo au katika muonekano huo,” alisema Wastara. Lakini kwa upande wangu naona ni bora zaidi nilivyotoka mapema kwa sababu pengine ingeniathiri nikashindwa kufanya kazi zangu na kulea wanangu,”

Wastara alisema hawezi kuzungumzia chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake kwa kuwa yale ni maisha yake ya ndani.

Pia Wastara amesema bado umri wake unamruhusu kuingia tena kwenye mahusiano, ukifika wakati amempata mtu sahihi ataolewa tena.

Source: Wastara asema kuvunjika kwa ndoa yake na mbunge Sadifa kumempa amani | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

huyu nae anapenda michezo ya kikubwa daaa hachoki!!!
 
Ndio sifa za kijinga....! Oh sijui nyumba zangu...! Mdada muongo huyu!!!
Kweli anataka huruma na kujisafisha kwenye jamii, anajisemea "hii imeniharibia kwenye jamii kwa kuwa si kawaida yangu" huyu mwanamke alienda kwa MH. kujiongezea kipato na kutafuta matibabu basi, maana kuna mahali alikiri hajawahi kumpenda mh. eti alijikuta tu kaolewa nae jamani?! Anashangaza, halafu akamuomba msamaha yule bwana ake Bond eti alimuacha akaolewa kwa kuwa kijana alimkosea ila amemsameh, huyu kweli anafanya ujasiria mwili.
 
Huyu mume angeyasoma kwa mwenzie wa huku znz....yeye ni mwakilishi.

Ameacha mke na watoto kadhaa kwa bongo muvi flani ayekuwa kwenye matangazo ya magodoro!
Anaendeshwa kama mdoli mpaka huruma na anazimimina kama maji ya mto ,sema kwao hela ipo ndo kinachomfanya awepo hewani na bint!
Alishawahi muacha lakini akarejea tena ...
sasa ndoa ipo ila imebebwa na mume mke wala hajali....
Wanataka sifa kuoa vya moto ...urembo na umaarufu..matokeo kuanikwa .mbunge mzima unaadhiriwa namna hii.....
Watawaweza wapi mijuttar.....!
 
Kweli anataka huruma na kujisafisha kwenye jamii, anajisemea "hii imeniharibia kwenye jamii kwa kuwa si kawaida yangu" huyu mwanamke alienda kwa MH. kujiongezea kipato na kutafuta matibabu basi, maana kuna mahali alikiri hajawahi kumpenda mh. eti alijikuta tu kaolewa nae jamani?! Anashangaza, halafu akamuomba msamaha yule bwana ake Bond eti alimuacha akaolewa kwa kuwa kijana alimkosea ila amemsameh, huyu kweli anafanya ujasiria mwili.
Ila uwezi kuamini! Mh aliamua kumsaidia Kwa muda mfupi Ila ndio vile kusema kunguru afugiki....!
Kwa ufupi mdada hakuwa amemtuliaji hata kidogo!!!
 
Kuna watu walisema kuoa bongo movie ni kujiunganisha na ugonjwa wa moyo..
 
acheni aolewe .kwani inawahusu nini? mbona hao waoaji wa kila siku hamuwasemi.
wanaume hawastahili huruma yoyote ukiwapata unawapiga tu unasepa
Sasa nani anapigwa kati ya mwanaume au mwanamke? Mwanamke unapigwa kuwili lembe au manyu ila mwanaume hapigiki. Iukimchuna laki anaingiza laki 5 . mtazamo tu
 
teh teh teh
kuna watu mmepinda aiseee, dah
 
Back
Top Bottom