Wanawake wa Dar hao.Huyu dada Ni mmoja wao....!
Naskia hawa wanaweza kuolewa kwa muda mfupi ati ili kuondoa mkosi.. Wanaita ndoa chuo.. So hapo mtu kama wastara yuko chuo sijui cha 6Wanawake wa Dar hao.
Hawa wanawake wa mwambao hawako serious na ndoa...
Sasa mtu yuko chuo cha 5 kwa mfano.. Na katika kila chuo alikuwana mafiga 3.. Aiseee... Hiyo network ni pana kuliko HalotelSifa ya mwanamke ..kuolewa Mara nyingi ....wanaitwa Chuo ....wako wanafika hadi Chuo cha tano au mume au ndoa ya tano....nadhani KHADIJA KOPA keshafika mume watano....au Marehemu Mh Asha ..kiboko ya Jusa
Hata hivyo kwa wanawake hawahitaji huruma. Unakula papuchi unajikata.acheni aolewe .kwani inawahusu nini? mbona hao waoaji wa kila siku hamuwasemi.
wanaume hawastahili huruma yoyote ukiwapata unawapiga tu unasepa
Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Wastara amesema mahusiano ya mapenzi ni kama mtu anavyoishi na rafiki yake, mkizinguana maachana.
“Binafsi kwa sababu ni muda mchache naumia kuwakarahisha mashabiki wangu kwa sababu hawamchukulii Wastara katika stori hizo au katika muonekano huo,” alisema Wastara. Lakini kwa upande wangu naona ni bora zaidi nilivyotoka mapema kwa sababu pengine ingeniathiri nikashindwa kufanya kazi zangu na kulea wanangu,”
Wastara alisema hawezi kuzungumzia chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake kwa kuwa yale ni maisha yake ya ndani.
Pia Wastara amesema bado umri wake unamruhusu kuingia tena kwenye mahusiano, ukifika wakati amempata mtu sahihi ataolewa tena.
Source: Wastara asema kuvunjika kwa ndoa yake na mbunge Sadifa kumempa amani | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Kaka nikitaka sympathy tu! Wewe umemshasikia jamaa akizungumzia...?Dah, kwa hiyo hizi mbwembwe za kulalamika kwenye media kila siku ni kutafuta sympathy au nini??
Kwake Ni kutokuitambua....!Mmh anataka kuingia 'Guiness Record' au ni kutojitambua.
Ndio sifa za kijinga....! Oh sijui nyumba zangu...! Mdada muongo huyu!!!Wanawake wa Dar hao.
Kweli anataka huruma na kujisafisha kwenye jamii, anajisemea "hii imeniharibia kwenye jamii kwa kuwa si kawaida yangu" huyu mwanamke alienda kwa MH. kujiongezea kipato na kutafuta matibabu basi, maana kuna mahali alikiri hajawahi kumpenda mh. eti alijikuta tu kaolewa nae jamani?! Anashangaza, halafu akamuomba msamaha yule bwana ake Bond eti alimuacha akaolewa kwa kuwa kijana alimkosea ila amemsameh, huyu kweli anafanya ujasiria mwili.Ndio sifa za kijinga....! Oh sijui nyumba zangu...! Mdada muongo huyu!!!
Kweli anataka huruma na kujisafisha kwenye jamii, anajisemea "hii imeniharibia kwenye jamii kwa kuwa si kawaida yangu" huyu mwanamke alienda kwa MH. kujiongezea kipato na kutafuta matibabu basi, maana kuna mahali alikiri hajawahi kumpenda mh. eti alijikuta tu kaolewa nae jamani?! Anashangaza, halafu akamuomba msamaha yule bwana ake Bond eti alimuacha akaolewa kwa kuwa kijana alimkosea ila amemsameh, huyu kweli anafanya ujasiria mwili.
Ila uwezi kuamini! Mh aliamua kumsaidia Kwa muda mfupi Ila ndio vile kusema kunguru afugiki....!Kweli anataka huruma na kujisafisha kwenye jamii, anajisemea "hii imeniharibia kwenye jamii kwa kuwa si kawaida yangu" huyu mwanamke alienda kwa MH. kujiongezea kipato na kutafuta matibabu basi, maana kuna mahali alikiri hajawahi kumpenda mh. eti alijikuta tu kaolewa nae jamani?! Anashangaza, halafu akamuomba msamaha yule bwana ake Bond eti alimuacha akaolewa kwa kuwa kijana alimkosea ila amemsameh, huyu kweli anafanya ujasiria mwili.
Kuna watu walisema kuoa bongo movie ni kujiunganisha na ugonjwa wa moyo..Ila uwezi kuamini! Mh aliamua kumsaidia Kwa muda mfupi Ila ndio vile kusema kunguru afugiki....!
Kwa ufupi mdada hakuwa amemtuliaji hata kidogo!!!
Yawezakana Kweli kabisa.....!Kuna watu walisema kuoa bongo movie ni kujiunganisha na ugonjwa wa moyo..
Sasa nani anapigwa kati ya mwanaume au mwanamke? Mwanamke unapigwa kuwili lembe au manyu ila mwanaume hapigiki. Iukimchuna laki anaingiza laki 5 . mtazamo tuacheni aolewe .kwani inawahusu nini? mbona hao waoaji wa kila siku hamuwasemi.
wanaume hawastahili huruma yoyote ukiwapata unawapiga tu unasepa
teh teh tehSasa nani anapigwa kati ya mwanaume au mwanamke? Mwanamke unapigwa kuwili lembe au manyu ila mwanaume hapigiki. Iukimchuna laki anaingiza laki 5 . mtazamo tu