Wastara: Kwa sasa sihitaji msaada kwa watanzania zaidi ya kuniombea dua tu!

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Msanii wa Bongo Movie Wastara Juma, amesema kwamba kwa muda huu haitaji msaada wowote zaidi ya kumuombea dua ili aimarike kiafya.

"Nawaomba watanzania waniombee dua, kwa sasa sihitaji msaada wowote kwa watanzania zaidi ya wao kuniombea dua ili nizidi kuendelea vizuri kiafya.

Kinachonisumbua sasa hivi ni tatizo la kichwa na mgongo, kuna dawa nimeandikiwa na daktari za kutumia maisha yangu yote".

Chanzo: Cloudsfmtz





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…