Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Mheshimiwa anajua kuchagua,Lol
Sijui alikosa nini kwahuyo wa kwanza??au tamaa tu??
 
Moyo wa binadamu unaficha mambo mengi sana, anatoa wapi ujasiri wa kujihakikishia yote hayo? Sio kila anachokisema mtu mwingine anamaanisha au kina ukweli.
 
Acha kuyafanya maisha yako magumu.
 
sasa unategemea akiwa na ashki(nyege) za kugongwa agongwe na nani?au ndo abaki kuzini tu?au unataka kusema mume akifa na nyege nazo zinakata?huy dada bdo mbichi kbs acha akapate haki yake ya ndoa bana asije akaendelea kubaki single mwishoe atuletee mitoto ya nje ya ndoa icyokuwa na baba...
 
ISLAM KUOLEWA WAWILI SI TATIZO . ILA WOTE WATATU WAMEHUSIKA KUIIMARISHA NDOA YAO KWA HAKI SAWA KWA WOTE KISHERIA CHA DINI YAO
 
Hivi wastara baada ya kupata ajali akiwa na sajuki alipata tatizo gani kwenye mguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…