Aisee nyie mnakatisha watu tamaa...bahati ya ndoa ikoje au mwanaume anakuwaje?Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
Sikubaliani na hili...kama umefiliwa mdogo in your 20s or 30s even 60s so maisha ya unyumba ndo yawe ndo mwisho. People move on life goes on......huwezi kuomboleza kilio milele. Watoto watakuwa nao watakuwa na maisha yao....what about youHongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Anafata maamrisho ya dini yakeMheshimiwa anajua kuchagua,Lol
Sijui alikosa nini kwahuyo wa kwanza??au tamaa tu??
Ni mtazamo wako, ambao kwa mtazamo wangu ninauona umekaa kiuzinifu zaidi kwa sababu unamtaka asiolewe ila aziniweHongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Japo sio kila muwa ni mtamu, kwa maana sio kila siku ni jumapiliHongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
hebu tuambie AIBU gani?Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Hujatongozwa na Alhaj Dangote wewe ndiyo maana unasema hivyo!mwanaume ukiwa na pesa hata 1000 mtakaa pamoja.refer mfalme SolomonMmmh mi siwezi hata sekunde moja
Sio kila mtu pesa ndo kila kitu japo pesa ni ya muhimuHujatongozwa na Alhaj Dangote wewe ndiyo maana unasema hivyo!mwanaume ukiwa na pesa hata 1000 mtakaa pamoja.refer mfalme Solomon
dini inaruhsuuMheshimiwa anajua kuchagua,Lol
Sijui alikosa nini kwahuyo wa kwanza??au tamaa tu??
Ana bahati sana maana machotara hawatakiwi huko.