Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Sikubaliani na hili...kama umefiliwa mdogo in your 20s or 30s even 60s so maisha ya unyumba ndo yawe ndo mwisho. People move on life goes on......huwezi kuomboleza kilio milele. Watoto watakuwa nao watakuwa na maisha yao....what about you

Helloo.....Its 2016
 
Hongera zake

Na zile nyumba zake natumaini ni salama kama hakuvunja sheria.
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Ni mtazamo wako, ambao kwa mtazamo wangu ninauona umekaa kiuzinifu zaidi kwa sababu unamtaka asiolewe ila aziniwe
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
hebu tuambie AIBU gani?
binaadamu ni kiumbe na si mashine, kiasilia tumeumbwa kuwa na wenza, kwa tamaduni na dini zetu mwenza akubaliwae kijamii na akakupa heshima yako na utu wako ni yule aliekuoa. je aibu ni kuolewa mara ya pili au KUZINI hovyo bila ya mume kwa kisingizio kuwa kuolewa mara ya pili ni aibu?
wanawake BAADHI yenu mnadhani mkishakuwa na pesa au kazi ya kuhudumia watoto basi mnaona ni sahihi tu kuishi bila mwenza! HAPANA, si sahihi....binaadamu atabaki na ubinaadam wake tu kuwa ameumbwa awe na mwenza!
 
Hata ningekuwa kwenye dini inayoruhusu polygamism sidhani kama ningeweza kumiliki wanawake wawili... sijui unamwambiaje mke wako unapotaka kuoa tena ili aendelee kuwa na amani, sijui unamtamkiaje bi mkubwa kuwa unampenda na akuamini
 
Nilisoma mahali kuna wastara wanakuwa mke wa nne kwa huyo mheshimiwa, sijui ni kweli au uongo?
 
kama ndoa ya jide imevunjika siwezi amini ndoa yoyote ya msanii
 
kwahiyo yule kijana chotara wa channel ten kipindi cha mambo ya movie kaachana nae ?
 
Back
Top Bottom