NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Mmm yasikie tuu kwa wenzio omba yasikukute,manake tafrani huenda wewe ukawa na stahmala lakini mwenzio hana,mume mnachngia humjui mwenzio anaigawa kwa nani mwengine maradhi yahaya,yani mwenyezi mungu atunusuru..Sasa hapo yupi biMkubwa na yupi New-Mwenza? !! ? Nawe acha roho mbaya..wakaribishe akina s...
Acha bhana MUMUE bomba na mwenye Misimamo madhubuti ..Maradhi ganii tena.. acha woga ... HESHIMA moja..Mmm yasikie tuu kwa wenzio omba yasikukute,manake tafrani huenda wewe ukawa na stahmala lakini mwenzio hana,mume mnachngia humjui mwenzio anaigawa kwa nani mwengine maradhi yahaya,yani mwenyezi mungu atunusuru..
hahahaha evee wacha uchoyoMmmh mi siwezi hata sekunde moja
Nadhani umesahau ule msemo wa kuwa mlamba asali hujenga mzinga..Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
hahahaha inabidi nicheke tu hakuna namnaNadhani umesahau ule msemo wa kuwa mlamba asali hujenga mzinga..
Lakini mlitaka afenyeje na yeye minyeg* bado anayo ?! Wazo hilo mpatie mwanamke wa miaka 50 na kuendelea ambaye hata umwanzi unataka kufunga ! Huyo wastara bado mbichiii mnataka asiendelee kula raha za dunia maana yake nn ?[emoji57] [emoji57]
mmmmm apana mwisho wa siku ni binadamu kama wengine...na sio wote wenye wake wawili wanawapenda the same..Acha bhana MUMUE bomba na mwenye Misimamo madhubuti ..Maradhi ganii tena.. acha woga ... HESHIMA moja..
Mbona kushea vya mitaani unaweza...!!Mmmh mi siwezi hata sekunde moja
kwanini?Mmmh mi siwezi hata sekunde moja
Picha za nyuma aah ngoja nitafuteWastara sio chotara
Tafuta picha zake za nyuma.
Dada nasikia kaachika mumewe anamtuhumu kwa ushirikina.....dah hizi ndoa hiz yaana hata miez miwili haijaisha ?PICHA YA PAMOJA WASTARA SAJUKI AKIWA NA MKE MWENZIE!!!
==Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na kuheshimiana..Full stop.r
View attachment 316300
Kesha achwa kama ilikuwa nguvu ya pesa na si penzi pole yake.njurukuu,pesa mkwanja,mawe,mapene,ngawira,uchache,jiwe,mavumba.taja majina mengine.hivi huyo wastara ana nini cha nyongeza kwa bibi mkubwa.kama sio pesa??