Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Sasa hapo yupi biMkubwa na yupi New-Mwenza? !! ? Nawe acha roho mbaya..wakaribishe akina s...
Mmm yasikie tuu kwa wenzio omba yasikukute,manake tafrani huenda wewe ukawa na stahmala lakini mwenzio hana,mume mnachngia humjui mwenzio anaigawa kwa nani mwengine maradhi yahaya,yani mwenyezi mungu atunusuru..
 
Acha bhana MUMUE bomba na mwenye Misimamo madhubuti ..Maradhi ganii tena.. acha woga ... HESHIMA moja..
 
Atakuwa abused sana na mke mwenza akitoka nje ya mstari, verbal abuse, ule mguu!
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Nadhani umesahau ule msemo wa kuwa mlamba asali hujenga mzinga..
Lakini mlitaka afenyeje na yeye minyeg* bado anayo ?! Wazo hilo mpatie mwanamke wa miaka 50 na kuendelea ambaye hata umwanzi unataka kufunga ! Huyo wastara bado mbichiii mnataka asiendelee kula raha za dunia maana yake nn ?[emoji57] [emoji57]
 
hahahaha inabi

hahahaha inabidi nicheke tu hakuna namna
 
PICHA YA PAMOJA WASTARA SAJUKI AKIWA NA MKE MWENZIE!!!
==Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na kuheshimiana..Full stop.r

View attachment 316300
Dada nasikia kaachika mumewe anamtuhumu kwa ushirikina.....dah hizi ndoa hiz yaana hata miez miwili haijaisha ?
 
njurukuu,pesa mkwanja,mawe,mapene,ngawira,uchache,jiwe,mavumba.taja majina mengine.hivi huyo wastara ana nini cha nyongeza kwa bibi mkubwa.kama sio pesa??
 
njurukuu,pesa mkwanja,mawe,mapene,ngawira,uchache,jiwe,mavumba.taja majina mengine.hivi huyo wastara ana nini cha nyongeza kwa bibi mkubwa.kama sio pesa??
Kesha achwa kama ilikuwa nguvu ya pesa na si penzi pole yake.
 
Back
Top Bottom