Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Wastara Juma. IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki', staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati muafaka wa kumpata mtu wa kuziba pengo la marehemu mume wake.

"Inatosha sasa, nadhani muda wa kuwa na mwenzangu umefika. Napenda huyo mwanaume awe mwenye huruma, upendo na kutambua thamani ya mke lakini ni vizuri akiwa mwenye kujituma na awe na fedha nyingi.

"Natamani kuolewa na bilionea. Najua nikiwa na mwanaume wa aina hiyo sitateseka, nitapata kila ninachokitaka. Unajua mimi kama mwanamke nina mambo mengi. Siyo siri natamani itokee siku moja niendeshe Hummer au Prado (aina za magari) kulingana na hadhi yangu.

"Kiukweli nitafurahi sana nikimpata mwanaume wa aina hiyo, maana nitakuwa na uhakika wa kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kunisaidia katika shughuli zangu za sanaa," alisema Wastara.
 
Naona Mbunye yake imekuwa kama ya mtoto maana tokea afe Sajuki hadi leo si mchezo.
 
Naona Mbunye yake imekuwa kama ya mtoto maana tokea afe Sajuki hadi leo si mchezo.

si alikuwa anatembea na aliyekuwa bwana wa aunt lulu mpaka aunt lulu akasema bibie anatoa tigo maana mjamaa anapenda tigo tena anaingilia kwa nguvu.
 
Amevumiliaa vya kutoshaa olewaa maana ushapata maumivu ya kutosha
 
Hawa nao bana ..ngoja nikae kimya
 
Kwa jinsi alivyo na roho ya uvumilivu watajitokeza wengi wazuri na wabaya..she z beautiful. ..namuombea kwa mola apate bilionea mtulivu maana naamini wapo
 
umeona eeehhh!
wonders shall never end.........

Kwa kweli bongo inavivutio vingi tu na maajabu ya dunia kila cku, utasikia samaki kaingia tumboni kupitia sehemu za siri za mtoto akichota maji ha ha haa i can imagine, ina maana hakuvaa chupi wala bikini daaaah samaki kapata mzuka.
Haya huyu nae amataka bwana bilionea, hajui zimechumwa vipi na hajui ukiolewa na bwana ana hela tayari ni majanga tosha, atakunyanyasa tu baadae, lakini yeye mwenyewe ni used, hivi anaweza pata bei ya kwenye makaratasi kweli?
I like bongo land lazima ucheke kila siku.
 

we naee
hebu tuwache na vivutio vyetu vya utalii!!
 
haya mapya sasa,ni tofauti sana na alivyojipotray ktk mahusiano na Sajuki,huyo ndio Wastara halisi sasa, ametoka kwenye closet.Unafiki kaweka kando.
 
haya mapya sasa,ni tofauti sana na alivyojipotray ktk mahusiano na Sajuki,huyo ndio Wastara halisi sasa, ametoka kwenye closet.Unafiki kaweka kando.

Sipati picha, hata mimi nilikuwa na picha ya mdada wa kufa na kupona, shida na raha, ugonjwa na uzima.
Hii ya kulala juu ya magunia ya pesa ni Wastara huyu huyu au kachizika au alikuwa nayo underground hata wakati wa Sajuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…