Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Ujinga mtupu,ndoto za mwendawazimu hizo,bilionea????? Haiwezekani hata iweje,atampata tu kama sajuki,yeye alipokuwa na sajuki,alikuwa bilionea? Wastara anakera kwa hili,duniani tunapita,tamaa za nini? au alimuua sajuki ili iwe kafara ya kuwa na bilionea??? kwa waelewa kaongea pumba tupu.
 
Wasikukatishe tamaa yupo bilionea Free man mbooo weee anapenda sana watu ka nyieee
 
Mmmh unataka kufungasha trella ahera alietangulia atoshi loh
 
Wasanii wa Tanzania are another wonders of the World. Vituko haviishi. Wanataka hela sana mwishowe wakikosa njia halali basi wanakuwa punda au kuiba waume za watu wenye hela kama Clement wa Wema.
 
Demu mwenyewe kajaa mikosi chungu nzima,akafie mbele!

Ukute nae yumo Jf kwa fake id..dah watu mna mioyo ya ajabu sana. Angekuwa dada ako ungesema hivyo? Not good mkuu, scan your words begore posting. Despite tunatumia id fake lkn haya tuandikayo ni reality of our hearts
 

Heeee aiiiiii huuuuu aiseee this is awful & so weird to write
 

aisee me cjaelewa ktk hl jaman inaonekana jins gan wanawake 2lvyo na roho ngumu
sasa kwanin ameamua kutangazia umat hzi habar TZ nzma inajua kuwa alikuwa akimpenda mumewe na kuna watu walikuwa waki2fowadia sms kuwa 2we na mapenz ya dhat kama wastara na mumewe sasa kiko wapi jaman daa
nina waswas alikuwa anapretend mapenz kwa sajuki
 
Wastara..mbona Sajuki akiwa hai hukuwahi kumwambia kuwa unataka ajitume awe bilionea?? by the way mimi ni bilionea ila navusha ngada!! uko tayari??? maana tatizo si ni ubilionea tu na haijalishi umekujaje?

we mpuuzi kweli, ulikuwa unalala na sajuki pamoja na wastara!? una uhakika gani kama hakuwahi kumwambia bwanake ajitume awe.tajiri??? dume zima ovyooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…