Wastara ni mkweli au mpigaji.. anatumia ugonjwa kula hela za wachangiaji?! hoja ya risiti

Hahahaha December alikua anabanjuka out of nowhere mguu huo! Ila pia alimuweza yule mbunge ndoa kafunga na kumtapeli chap! Natalaka juu. Pia mke mwenzie alisema hapa hakuna mapenzi
 
alitakiwa apelekwe grarama zilipwe direct na sio kupewa cash anaonekana msanii hata wenzie wamemchunia kuna tatizo hapo
 
Hapa bila kupepesa macho Sizonje amepigwa....lakini haina kesi Wastara alikata sana mauno kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
 
Hahaha et sahivi analidanga taifa aahahahhah nmecheka sana yani
 
Wajinga ndiyo waliwao. ACHA awapige tu. Hakuna namna
 
Arooo reta risiti ya matibabu rasihivyo nakutandika rimimba.ukirudi bira risiti za matibabu panua paja mkwaju waja
 
hahaaa aiseee sasa hvi analidanga taifa ..
kweli aiseee.daah kweli bongo nyosooo mpka mkilomije kapigwa changa ..dadeq
 
Hivi huyo Brother aliyevaa T-shirt
ya blue design kama sijamuelewa elewa?anaonekana ni KAOGE TYPE
 
Nimekumbuka kisa cha yule Binti alietaka kumtapeli Mama Salma Kikwete kuhusu kusomeshwa!
 
Sitii neno kwakuwa ktk amount yote hiyo, sijato hata senti tano yangu.
Wewe ni nani udai risiti! Umechangia kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…