Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ndo unaona analopoka ila Mange anakuaga na Facts sanaKama yanaingia akilini japo mleta hoja Mange ni msadikika wa kulopoka lopoka hovyo,,,
SanaaaaaaMkuu wewe ndo unaona analopoka ila Mange anakuaga na Facts sana
duh!!!!Huyu mluguru ameona umri wa kudanga kwa mtu mmoja mmoja umempita saiv analidanga taifa zima
kweli wastara hasumbuki mjini ..duuhhHivi wastara hasumbuki ni methali au kitendawili?
"wastara hasumbuki mjini"
Sitii neno kwakuwa ktk amount yote hiyo, sijato hata senti tano yangu.
Wewe ni nani udai risiti! Umechangia kwani?