Wastara: Niliishia form two nikaolewa

Kweli binamu wee mkale, ningejua wapi mimi kama wastara ni mharabu? Ningejulia wapi kama aliolewa na miaka 16 tena akawa anaumia? Binamu udumu lol!

Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye
 
Mtoto wa uswahilini huyo.....halafu anaswali kila siku huyo wakati mdomo mchafu.....

Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…