warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Apr 27, 2015 Thread starter #21 ram said: Kweli binamu wee mkale, ningejua wapi mimi kama wastara ni mharabu? Ningejulia wapi kama aliolewa na miaka 16 tena akawa anaumia? Binamu udumu lol! Click to expand... Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye
ram said: Kweli binamu wee mkale, ningejua wapi mimi kama wastara ni mharabu? Ningejulia wapi kama aliolewa na miaka 16 tena akawa anaumia? Binamu udumu lol! Click to expand... Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye
ram JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,326 Reaction score 8,505 Apr 27, 2015 #22 Mtoto wa uswahilini huyo.....halafu anaswali kila siku huyo wakati mdomo mchafu..... warumi said: Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye Click to expand...
Mtoto wa uswahilini huyo.....halafu anaswali kila siku huyo wakati mdomo mchafu..... warumi said: Juzi kanichambia mtu uko insta, huyu dada kiboko aseeh, matusi mazito kama sio yeye Click to expand...