Wastara taabani, anaumwa...

Hakuna mgonjwa hapo ni magilini tu. Kuna msg anawatumia msishtuke siku ikifika mjue na kujadili ah ni kichwa mara mguu mtabishana mbona alienda India kutibiwa kwani alitibiwa nini hahahhhh mwenye uelewa wameshtukia game. Aache kujilengesha buaaana
 
Hela alizotutapeli kwenda kula bata India sasa zinamdindia..wacha ajifie. Utapeli haulipi.
 
Why are these bongo movie lesbians are so special in Tanzania??
 
Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Nahisi wanapima kuona anachoonyesha na kusema kinafanana na hali anayoonyesha. Unaumwa na urembo juu?
 
Hivi huyu dada ni nini haswa kinachomsumbua? Je, anatembea na mume wa mtu na mwenye mali kamfanyizia au?
 
Tumchangie akatibiwe tena Uhindini na baada ya matibabu chenchi inayobaki bata Saudi Arabia
 
Wasanii wetu wa bongo wakiumwa inatia huruma. Kwanza lazima tujue pili lazima tuwachangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…