Wastara taabani, anaumwa...

Wastara taabani, anaumwa...

Hakuna mgonjwa hapo ni magilini tu. Kuna msg anawatumia msishtuke siku ikifika mjue na kujadili ah ni kichwa mara mguu mtabishana mbona alienda India kutibiwa kwani alitibiwa nini hahahhhh mwenye uelewa wameshtukia game. Aache kujilengesha buaaana
 
Hela alizotutapeli kwenda kula bata India sasa zinamdindia..wacha ajifie. Utapeli haulipi.
 
Hivi huyu dada ni nini haswa kinachomsumbua? Je, anatembea na mume wa mtu na mwenye mali kamfanyizia au?
 
Tumchangie akatibiwe tena Uhindini na baada ya matibabu chenchi inayobaki bata Saudi Arabia
 
Wasanii wetu wa bongo wakiumwa inatia huruma. Kwanza lazima tujue pili lazima tuwachangie
 
Back
Top Bottom