Nimecheka kama ni jambo zuri. Mkuu unajua anweza kuwa anaumwa kweli lakini anavyo-act, kupiga picha na kuatngaza kila anapoumwa basi inafanya hata jamii imchoke. BTW kama kila mtanzania anapougua ange-act kama huyu nchi isingekalika. Kuna watu hawajui kuna wengine wengi tu ni wagonjwa lakini hata hawasemi.Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo madude kichwani ni waya za umeme wanajaribu kuunganisha kwa nje maana kichwani ziliungua
Awamu ya tatu ya michango.Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Kweli kabisa ndio maana Mange huwa anamwambia ukweli aache utapeli.Hakuna mgonjwa hapo ni magilini tu. Kuna msg anawatumia msishtuke siku ikifika mjue na kujadili ah ni kichwa mara mguu mtabishana mbona alienda India kutibiwa kwani alitibiwa nini hahahhhh mwenye uelewa wameshtukia game. Aache kujilengesha buaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo madude kichwani ni waya za umeme wanajaribu kuunganisha kwa nje maana kichwani ziliungua
Hahaha,Mkuu umeona mbaliiDah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Neema za Allah zingekuwemo tungemuita sheikh Kipoozeo aje amfanyie duwa.Kuhusu nini....? Aswali mwenyewe tu, mie ntaenda church
AhahahahahahahHuyu nae kuumwa kwake anafanya tukio la taifa, watanzania wote tusononeke...mswahili sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi huyu dada ni nini haswa kinachomsumbua? Je, anatembea na mume wa mtu na mwenye mali kamfanyizia au?
DuuuJizi hili demu, linataka mchango tena....waliache tuone kama litakata waya
Wastara ana vituko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]