LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
mkuu umeniwahi aisee,huyo muuguzi wa hospital gani?Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
nasikia boyfriend wake wa mwanzo ndio aliwataengeneza hao,ndio maana magonjwa yao huwa hayaeleweki eleweki,hakuna hata mmoja atakayesalia hapo..dhuruma ya mapenzi malipo yake ndio hayo.