Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Inasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taabanInasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....View attachment 777671
Jizi hili demu, linataka mchango tena....waliache tuone kama litakata wayaInasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....View attachment 777671
Na anavyojua kuitumia vizuri sura yake ya huruma,mwaka huu lazma watu wapigwe sana michango....SADDah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Yule Jamaa aliyekuwa anacheka kwa nyuma wakati magufuli alivyompigia kitila mkumbo inabidi apeleke 15m nyingine kwa wastara.Mfamisheni mtukufu ndiye mtoa michango ya matibabu
mswalie Mtume Sheikh wangu....Jizi hili demu, linataka mchango tena....waliache tuone kama litakata waya
haaaaaaDah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Kuhusu nini....? Aswali mwenyewe tu, mie ntaenda churchmswalie Mtume Sheikh wangu....
Mbona amejiremba hivyo usoni na foundation ya nguvu?.Isije kuwa yupo location,maana ni Bongo Movie huyoInasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....View attachment 777671