Wastara: Wanataka kunioa ili wanichezee

Ana mtalimbo kama wa pundaa!!!!

Mmh umeona wapi na wewe au ndo mmoja wa waathirika wa penzi la manaiki. Wastara binamu watu wanamkimbia kwa ajili ya mguu ule, wanaona hana swaga tena, ila kabla hajapata ajali alikuwa bonge la kisu dah
 
Binam kuna picha ilisambaa ya uchi ya manaiki weeee kama mandigo unavyomuonagaa kajaaliwa mpaka kapitilizaaa lakin binam wastara bado mzuri huo mguu ni ukilema tu wa ukubwan wala mi naona hatishii
 
Uwii binamu, presha inashuka, halafu ndo anatuambia hatak kuchezewa na wanaume? Hachezeweje wakat watu washamchakaza na kumzalisha watoto watatu au alikunywa pombe wakat ana hojiwa.

Sasa hao watatu,mmoja wa solo wawili wa sajuki auuu
 
Si ndio walitoa na ile movie ya mwanzo mwanzo inahusu huo mkasa au!!!??? Huyo deo yaan movie zake hua hazinivutiii yaan sijui yupoje yupojeee
Usilie binamu nami ntalia sasa! !
Halaf mi mpaka sajuki anafariki sijui alikua anaumwa niniii hivi ile hali yake angepona kwelii hata kama angepelekwa german,mi ningekua wastara ningekaa tu kwanza maana alipata shida mnooo angekua na wa kumsugua mara moja lakin kuolewa angeolewa baadae sasa hiv angejituliza tu
 
Uwii binamu, presha inashuka, halafu ndo anatuambia hatak kuchezewa na wanaume? Hachezeweje wakat watu washamchakaza na kumzalisha watoto watatu au alikunywa pombe wakat ana hojiwa.

haahaa....!yule pale mi nlimsikiaga anahojiwa mda na bongo movie ya eatv kipindi kile yupo joyce kiria kabla hajazaa na sajuki alisema aliolewa mdogo sana 1997 akazaa mtoto wa kwanza 1999 akazaa tena wastara enzi zake alikua mapepe sana sajuki ndo alimtuliza yule!
 
Binam kuna picha ilisambaa ya uchi ya manaiki weeee kama mandigo unavyomuonagaa kajaaliwa mpaka kapitilizaaa lakin binam wastara bado mzuri huo mguu ni ukilema tu wa ukubwan wala mi naona hatishii

angekaa kimya angepata bwana ila kutwa na shigongo nani amtake???!!!!!akaogeee....!
 
mmoja sijui kazaa na mpemba sijui muarabu huyo wa pili labda ndo wa solo thang
 
Ndo bhas tena mwanaume anayetakaga mizigo nani sasa ivi, yan watoto watatu? Hata kama akisema wataishi kwa ndug zake hapana kwa kwelu uko chini hali si shwal kabisa

Yani apo wastara kwa akili zake kabisa anasubir kutolewa mahalu na yeye aolewe? Na huyo mwanaume atakuwa hamnazo, mtu kashazeeka had maini labda yeye ndo anitolee mahali maana naoa mzigo, watu washababua sana mpak wengine hawapo tena duniani, apeleke uko majanga yake
 
angekaa kimya angepata bwana ila kutwa na shigongo nani amtake???!!!!!akaogeee....!

Huyu wastara anahitaji maombi, nakumbuka wakat mumewe kafa alisemag hatak tena mwanaume na hatakuja kuolewa tena, mmh huyu atakuwa anatak tu mwanaume wa kumlelea mtoto na ndo imekula kwake tena
 
Tatizo kujishow off magazetini angetulia angelipata lizee lishatukuu linamfanya mke wa nne ye s anataka ndoa...au km vp akajitangaze msikitini atapata tu wa size yake
 
Huyu wastara anahitaji maombi, nakumbuka wakat mumewe kafa alisemag hatak tena mwanaume na hatakuja kuolewa tena, mmh huyu atakuwa anatak tu mwanaume wa kumlelea mtoto na ndo imekula kwake tena

maisha magumu afu mababa wenyewe sidhani km wanamsaidia tatizo anapenda umaarufu yani mwanzo alivyofiwa nilimuonea huruma but nowdays anavyojichoeresha na global anantibua tu!na watu wanamdharau
 
JAMANI we warumi mbona una majanga ivyo? haaaaaaaaaaaaaaaaa ha haaa!!!
 
kuwa na huruma na mjane jamani!!
 
Yani mi mwenyewe simpendi huyo deo,anajikubali sana hlf ananikera zaidi akiongea kiingereza uwiiiii na akipaka lip bam
 
Teh kumbe ahsante kwa taarifa binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…