Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh umeona wapi na wewe au ndo mmoja wa waathirika wa penzi la manaiki. Wastara binamu watu wanamkimbia kwa ajili ya mguu ule, wanaona hana swaga tena, ila kabla hajapata ajali alikuwa bonge la kisu dah
Uwii binamu, presha inashuka, halafu ndo anatuambia hatak kuchezewa na wanaume? Hachezeweje wakat watu washamchakaza na kumzalisha watoto watatu au alikunywa pombe wakat ana hojiwa.
Unajua mimi binamu sina IMANI kabisa na yule rafiki yake sajuki anaitwa DEOGRATIUS SHIJA, nasikia jamaa kabla ya wastara na sajuki kuoana alimpendaga wastara na walikuwa marafiki sana na sajuki, sasa nasikia Deo akamtuma sajuki kwa wastara akamtongozee, haya sajuki nae kujifanya kidume kaenda kumtongoza yeye wastara na wastara akakubali wakaanza mahusiano, hata wewe ungekuwa Deo ungefurahi?
Tokea apo ndo mabalaa yakaanza kuwakumba, kabla hata ya ndoa wastara akapataga ajali ila sajuki alimuoa hivyo hivyo maskini( mungu amlaze mahali pema) unajua ni wanaume wachache wenye moyo kama sajuki(apa machozi yananitoka binamu).
Na tokea kipindi kile wastara awe na Sajuki, urafiki wake na deo ukafa mpaka sajuki alipoiaga dunia hawakuwa marafiki, hata kama ulikuwepo ulikuwa wa kinafki, Ugonjwa wa sajuki nahis ni wa kulogwa na Deo ndo yupo nyuma ya mchezo wote
Uwii binamu, presha inashuka, halafu ndo anatuambia hatak kuchezewa na wanaume? Hachezeweje wakat watu washamchakaza na kumzalisha watoto watatu au alikunywa pombe wakat ana hojiwa.
Binam kuna picha ilisambaa ya uchi ya manaiki weeee kama mandigo unavyomuonagaa kajaaliwa mpaka kapitilizaaa lakin binam wastara bado mzuri huo mguu ni ukilema tu wa ukubwan wala mi naona hatishii
haahaa....!yule pale mi nlimsikiaga anahojiwa mda na bongo movie ya eatv kipindi kile yupo joyce kiria kabla hajazaa na sajuki alisema aliolewa mdogo sana 1997 akazaa mtoto wa kwanza 1999 akazaa tena wastara enzi zake alikua mapepe sana sajuki ndo alimtuliza yule!
angekaa kimya angepata bwana ila kutwa na shigongo nani amtake???!!!!!akaogeee....!
Ndo bhas tena mwanaume anayetakaga mizigo nani sasa ivi, yan watoto watatu? Hata kama akisema wataishi kwa ndug zake hapana kwa kwelu uko chini hali si shwal kabisa
Yani apo wastara kwa akili zake kabisa anasubir kutolewa mahalu na yeye aolewe? Na huyo mwanaume atakuwa hamnazo, mtu kashazeeka had maini labda yeye ndo anitolee mahali maana naoa mzigo, watu washababua sana mpak wengine hawapo tena duniani, apeleke uko majanga yake
Huyu wastara anahitaji maombi, nakumbuka wakat mumewe kafa alisemag hatak tena mwanaume na hatakuja kuolewa tena, mmh huyu atakuwa anatak tu mwanaume wa kumlelea mtoto na ndo imekula kwake tena
Mmh kujitahidi kote kule kwa sajuki watu wakamsifia mwanamke bora anayefaa kuigwa nikajua mumewe akifa tu watu wanabeba mzigo, naona had leo kimya huyu atakuwa katupiwa mambo yetu sio bure
Ila watoto na wenyewe wanamlostisha, aya anayetaka kulea mitoto ya watu nani sasa ivi? Tena wawil bora angekuwa mmoja, huo nao mtihan kwa kweli, watu wanataka watoto wabichi tabia nzur ata kuku anayo, bi shost kapiga Km za maana watu hawamtaki kashakuwa used
kuwa na huruma na mjane jamani!!Ndo bhas tena mwanaume anayetakaga mizigo nani sasa ivi, yan watoto watatu? Hata kama akisema wataishi kwa ndug zake hapana kwa kwelu uko chini hali si shwal kabisa
Yani apo wastara kwa akili zake kabisa anasubir kutolewa mahalu na yeye aolewe? Na huyo mwanaume atakuwa hamnazo, mtu kashazeeka had maini labda yeye ndo anitolee mahali maana naoa mzigo, watu washababua sana mpak wengine hawapo tena duniani, apeleke uko majanga yake
Si ndio walitoa na ile movie ya mwanzo mwanzo inahusu huo mkasa au!!!??? Huyo deo yaan movie zake hua hazinivutiii yaan sijui yupoje yupojeee
Usilie binamu nami ntalia sasa! !
Halaf mi mpaka sajuki anafariki sijui alikua anaumwa niniii hivi ile hali yake angepona kwelii hata kama angepelekwa german,mi ningekua wastara ningekaa tu kwanza maana alipata shida mnooo angekua na wa kumsugua mara moja lakin kuolewa angeolewa baadae sasa hiv angejituliza tu
Yani mi mwenyewe simpendi huyo deo,anajikubali sana hlf ananikera zaidi akiongea kiingereza uwiiiii na akipaka lip bam
ana watatu wa kiume wawil wa kike mmoja
Wawili, we unadhan watu wanamkimbia bure? Nani anataka mizigo sasa ivi, wewe mwenyew mzigo aya na hivo vi kinda mnafanyaje?, mmoja alizaa na mumewe mwingine sajuki nae ndo kazaa nae huyu wa sasa ,aliachika mara mbili nadhan kabla ya sajuki kama sijakosea
Dooh wote wa Sajuki au?