Wastara: Wanataka kunioa ili wanichezee

Smh... sikuwahi kuwa haya mambo binamu.. nilidhan anamtoto mmoja tu kumbe nae ni mwingi wa habari

ana wa3 me mbili ke moja yule enzi zake alikua mcharuko sana sema mguu ndo ulimlostisha
 
Duh mmemchamba vya kutosha sijui amewakoseani?
 
Ila gossipcopwarumi umemobobea, warumi alisema hapa ameokoka ila dhambi ya umbea imemshinda kuacha, naona na wewe kama warumi vile, sijui yuko wapi nae mje msaidizane hapa
 
vingine vya kunyamaza tu usione watu wako kimya wanamambo makubwa yako ya kitoto ..sana
 
Ila gossipcopwarumi umemobobea, warumi alisema hapa ameokoka ila dhambi ya umbea imemshinda kuacha, naona na wewe kama warumi vile, sijui yuko wapi nae mje msaidizane hapa

Kumbe ni watu tofautii eee mi nilijua ni mapachaa
 
I think ni mtu mmoja mwenye account mbili sidhani kama ni watu wawili tofauti

Me navyojua zote ni za binamu warumi bana, boko haram wakivamiaga ile ID yake ya warumi ndo anatumiaga hii ID nyingine

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Mwenzangu boko haramu wamenikomeshaje, halaf nahis mmoj wa ma mods ana bifu na warumi, nadhan BAN zangu zinakuwa ndefu kuliko mtu yeyote, na mbona watasanda mi hat sijal ntafungua account hat kumi humu
 
Teh teh teh,,,,,,,,
 
hahahaaa....lazma wakae mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Anatafuta attention tu huyo Wastara. Nani akuoe sasa?! Mfa maji.....
 
Mwenzangu boko haramu wamenikomeshaje, halaf nahis mmoj wa ma mods ana bifu na warumi, nadhan BAN zangu zinakuwa ndefu kuliko mtu yeyote, na mbona watasanda mi hat sijal ntafungua account hat kumi humu

Hahahha binamu mbele ya umbea mbona utafungua tu hata account mia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyu Wastara mbona anabana wakati watu wamekufa na ndoto utajiri upo kaburini tupe na sisi tukufaiddi raha zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…