qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
hamna kila mmoja na baba ake mwenyewe alisemaga alizaa bado mdogo sanaa!
Smh... sikuwahi kuwa haya mambo binamu.. nilidhan anamtoto mmoja tu kumbe nae ni mwingi wa habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna kila mmoja na baba ake mwenyewe alisemaga alizaa bado mdogo sanaa!
Smh... sikuwahi kuwa haya mambo binamu.. nilidhan anamtoto mmoja tu kumbe nae ni mwingi wa habari
Duh mmemchamba vya kutosha sijui amewakoseani?
ukiuza utumbo usuigope nzi. warumi na dina wameitenfea haki thread hii sasa anayetaka kujilipuwa ruksa asije kusema sikujuwa.
Ila gossipcopwarumi umemobobea, warumi alisema hapa ameokoka ila dhambi ya umbea imemshinda kuacha, naona na wewe kama warumi vile, sijui yuko wapi nae mje msaidizane hapa
Kumbe ni watu tofautii eee mi nilijua ni mapachaa
Kumbe ni watu tofautii eee mi nilijua ni mapachaa
I think ni mtu mmoja mwenye account mbili sidhani kama ni watu wawili tofauti
Me navyojua zote ni za binamu warumi bana, boko haram wakivamiaga ile ID yake ya warumi ndo anatumiaga hii ID nyingine
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwenzangu boko haramu wamenikomeshaje, halaf nahis mmoj wa ma mods ana bifu na warumi, nadhan BAN zangu zinakuwa ndefu kuliko mtu yeyote, na mbona watasanda mi hat sijal ntafungua account hat kumi humu

Kwanii mapenzi si ni kuchezeanaa auu! !!!