Hiyo ID yako nakumbuka "caps"WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Jina la kule kule aisee! (Fisi mwekundu)
Rogers out
Kuna ile video wale wamama wanamwaga champeigne, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hili kabila ni icon ya ushamba duniani.
Hahahaa nimekusoma mkuu, kwa lugha ya kisanaahapana mkuu mie ni mzaamo
Mzaamo au mzalamo au mzaramo.... Nauliza tu jamani..
Ebu basi yatosha sasa, this is torture...honestly...WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Ebu basi yatosha sasa, this is torture...honestly...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wap kanda ya ziwaWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Wasugua malapaWarangi nao usiwaache kwenye Uzi huu
Umenikumbusha maeneo ya Ngarenaro pale Arusha aisee wanawake walio wengi wa hilo kabila huwezi kutana naye kavaa malapa halafu hayajasuguliwa au kavaa kanga hajaiweka blue. Hahahahaaaa.Wasugua malapa