Wasukuma jamani.... Tabia hii ina maana gani!!

Wasukuma jamani.... Tabia hii ina maana gani!!

Kuna ile video wale wamama wanamwaga champeigne, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hili kabila ni icon ya ushamba duniani.
 
Wasugua malapa
Umenikumbusha maeneo ya Ngarenaro pale Arusha aisee wanawake walio wengi wa hilo kabila huwezi kutana naye kavaa malapa halafu hayajasuguliwa au kavaa kanga hajaiweka blue. Hahahahaaaa.
 
Wasukuma wap? Wa mjini au Wa kijijini? Naona wa Kijijini sasa wanaisumbua Tz Hahahahah mmoja kashika jiji zima hamkohoi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba jeska akikuskiaa ...
 
Back
Top Bottom