Son Of JPM Member Joined Jun 24, 2019 Posts 10 Reaction score 4 Jul 7, 2019 #1 Yaani nimenda hotelini kunywa chai Msukuma sasa hapo tukakuta wasukuma wengine wanakipiga kisukuma yeye akawa mkalimani wangu ila aliponogewa akaniacha njia ya panda maana akaungana nao akawa anaongea bila tafsiri
Yaani nimenda hotelini kunywa chai Msukuma sasa hapo tukakuta wasukuma wengine wanakipiga kisukuma yeye akawa mkalimani wangu ila aliponogewa akaniacha njia ya panda maana akaungana nao akawa anaongea bila tafsiri