Son Of JPM
Member
- Jun 24, 2019
- 10
- 4
Yaani nimenda hotelini kunywa chai Msukuma sasa hapo tukakuta wasukuma wengine wanakipiga kisukuma yeye akawa mkalimani wangu ila aliponogewa akaniacha njia ya panda maana akaungana nao akawa anaongea bila tafsiri