Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

wasukuma ni cha mtoto kwa wamasai

mmasai akipiga simu anaongea hadi mwisho wa safari ikikata anajiunga anapiga tena

hadi huwa najiuliza hawa jamaa mbona wakiwa barabara kwa mguu hukuti wanaongea na simu yani wao kosa aingie kwenye gari
 
Nikweli wanapaza sana sauti. Sisi ofisi yetu ina meza 6 kwakuwa ni room kubwa about 14 x 20 feet sasa tulikuwa na msukuma mmoja. Akianza kupiga story au kuongea na simu ni kelele mwanzo mwisho.
Nashukuru alihamishwa.
 
, ujue waluguru wenye miraba minne na waliopaa ang
kapime DNA mzee baba....

Hakuna mluguru wa kimo hicho

ukute ww ni damu ya usukumani unaishi exile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

thank me later
Marehemu Sembuli bado kidogo aue mtu Nyamagana. Soma historia ujue waluguru wenye miraba minne na waliopaa.
 
Hapo mie sitii neno,wasukuma sio watani zangu!
Nalog off
 
Ungeshukia hapo Isangawana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…