Jamaa mada zako nyingi za kudharau na kebehi na kujiweka matawi sanaJuzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Hao jamaa ustaarabu zero kabisaMkuu upo sahihi zaidi ya 100% ata tunaoshi nao uku wa ndani ndani hivi vyoo vya kwenye maofisi uku unakuta kuna option zaidi ya 3 za kumwaga maji na maji yapo ila akimaliza anaacha gogo apo apo anaondoka🚶🏻
Mkuu nakukabidhi kwa Mungu tu na akwongezee pale ulipoishia , huyu ndugu kaja na kutoa kesi na kuamua mwenyewe ,tz hakuna makabila yaliyo na upendo kama wasukuma , ni kweli tumezoea maisha ya shida ila kwetu ni raha kwa mjibu wa tamaduni zeru ,why uyu mkuu tuangushia jumba bovu na je alidhibitishaje kwa kwamba uyo nimsukuma? Sie tunaosafari tunakutana na mambo mengi mkuu ndani na nje ya nchi, nimesikitika sana ,ila ndugu zangu wasukuma msife moyo , sukuma tribe ni taifa kubwa na mila zetu hatuachi mpaka yesu akirudi.Ni kwamba huyo binti na huyo jamaa walijitambulisha kama ni Wasukuma, au kila anayekwenda Mwanza akitokea Dar, ni Msukuma? Nauliza hivi kwa sababu ni siku chache tu zimepita tangu nilipo panda basi la kampuni hiyo hiyo ya la Ally's lenye choo ndani.
Kiukweli nilifurahia sana huduma yao. Full AC, viblanket vya kijifunika kila abiria (by the way mimi sikutumia), leather seat, screen ndogo nyuma ya kila siti huku ikiwa na access ya kuangalia muvi, pia nimeona kuna app ya jamii forums! Mbele kuna screen kubwa iliyounganishwa na Azam Media! Kwa hiyo unaiangalia CHAN live! Siti zake ni 1 by 2!!
Hapana, pale wanashuka na treni, au nyaunge asbh unawakuta mafiga kwenye zile Costa.Jitu kujamba mbele za watu halioni tabu
Walio staarabika hupanda ndege,nyanokoJuzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Hawa huwa wanafanyaga makusudi ili mtu ajitokeze kugombana nao kisha wakifika makwao wanamfanyizia kwa kumroga.Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Je umeisha wahi kaa ugogoni vijijini? Yani ukekaaa kwetu, na sisi tusivyo wachoyo tumekulea vizuri,leo upo na maisha unaanza kutubagaza ,Mungu anakuonaKituo cha kwanza cha kazi nilipelekwa kijijini usukumani.
Nilivyofika nikawa naona watu wazima kwa watoto wanapandisha juu ya kimrima fulani nikawauliza wafanyakazi wenzangu majibu walionipa nilistaajabu sana.
Yale majibu yalinifanya nifanye utafiti mdogo kwa kutembelea miji kadhaa pale kijijini aise nilikuja kugundua miji mingi haina choo.
Ule mrima ulikuwa ndio kimbilio lao kama choo na gesti .lile eneo nilihama baada ya miaka mitatu.
Kipindi fulani nikasema ngoja nikatembelee wadau .Kufika nakuta ule mrima pameibuka machimbo da nikasema kimoyomoyo sasa wananzengo wameharibiwa choo chao na gesti ya kuzagamulia.
Wasukuma na waha uchafu kwao ni jadi. Pia wanazaa kama panya.
UtukomeTunaishi nao hivyo hivyo ujuaji mwingi ushamba mwingi
HAKIKA...HAKIKA KABISA.....TENA KIZURI ZAIDI WANAJUA KUNYA BWANA...LOH😏,HATA UNAWEZA JIULIZA HII💩IMEPITA WAPI....🙌Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Uzi utakuwa batili😅😅Bila kupost hiyo harufu hapa huu ni uchochezi
Mimi siyo msukuma ila ninakaa nao na nimeoa huko, wasukuma ni watu poa sana haya mapungufu yapo kila sehemu,Tusipende sana kuzalau makabila ya wenzetu, hakuna kabila ambalo halina mapungufu hii inachangiwa na makabila nchini kwetu kuwa na mila tofauti, Mimi ni msukuma ,ila hujatutendea haki.
Acha kujiona wewe pia umekamilika ,hii tabia ya kudis makabila mengine ni ya kipumbavu sana ,kwamba kama mtu mmoja katika kabila flani amekosea sehemu basi kabila zima linahukumiwa hii sio sawa .
Nilienda Mlimba kijiji cha namawala sehemu inaitwa mikochini.Kituo cha kwanza cha kazi nilipelekwa kijijini usukumani.
Nilivyofika nikawa naona watu wazima kwa watoto wanapandisha juu ya kimrima fulani nikawauliza wafanyakazi wenzangu majibu walionipa nilistaajabu sana.
Yale majibu yalinifanya nifanye utafiti mdogo kwa kutembelea miji kadhaa pale kijijini aise nilikuja kugundua miji mingi haina choo.
Ule mrima ulikuwa ndio kimbilio lao kama choo na gesti .lile eneo nilihama baada ya miaka mitatu.
Kipindi fulani nikasema ngoja nikatembelee wadau .Kufika nakuta ule mrima pameibuka machimbo da nikasema kimoyomoyo sasa wananzengo wameharibiwa choo chao na gesti ya kuzagamulia.
Wasukuma na waha uchafu kwao ni jadi. Pia wanazaa kama panya.
Nipo kanda ya Ziwa miaka kadhaa sasaHajatunga, inaweza kuwa kweli ww hao watu huwajui vzuri
HahahaaJuzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Mimi kuna jamaa yangu msukuma yupo hapo ifakara,kuna siku nikamtembelea baada ya msosi heavy wa mchana, nikaona anachukua jembe akanipa code kuwa oyaa dakika sifuri naenda kutaga kwanza,sikuelewa ile code vizuri,alivyorudi ndo akaniambia alienda kunya porini ,huwa wanachimba shimo wanakunya then wanafukia.Nilienda Mlimba kijiji cha namawala sehemu inaitwa mikochini.
Nikajaribisha madhambani kijijini huko kwa msukuma mmoja.
Chakula siyo ishu kwao asbh viazi vitamu, mchana Wali au ugali na mboga nyingi. Usiku Wali ila kuiva huo Wali siyo swala la msingi.
Sasa choo kipo mbali sana toka kwenye nyumba nikauliza kule ndiyo choo wakasema ndiyo. Aisee choo kichafu mpk kimeziba nikauliza hiki choo kinatumika kweli? Wakasema sisi tunaendaga kwenye mapori nilichoka kabisa.