Wasukuma,wazinza na majirani zenu mupoo!

Wasukuma,wazinza na majirani zenu mupoo!

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Delagawiza bhanyankima na bhanigini.
Naomba ufafanuzi wa huu msamiati maarufu,unaotumiwa hapa mwanza mjini stendi kuu linanamaana gani hili neno" NYEGEZI,"?
Nitashukuru sana kulitambua.
 
Back
Top Bottom