Wasukuma wenzangu inaitwa Threads sio Sealed

Wasukuma wenzangu inaitwa Threads sio Sealed

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed.

Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh

Nikajua threads... Rooo tuwakumbushee na majiran zetu wa shy jamani sio sealed ni threads
 
kuna jamaa mjoma hivi baada ya kusema fire extinguisher alikuwa anasema fire tingisha.. nilitamani kucheka ila ndio hivyo ni mtu na heshima zake😅😅😂
 
kuna jamaa mjoma hivi baada ya kusema fire extinguisher alikuwa anasema fire tingisha.. nilitamani kucheka ika ndio hivyo ni mtu na heshima zake😅😅😂
Wasukuma bwana. Crusher wanaita karasha.
 
Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed.

Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh

Nikajua threads... Rooo tuwakumbushee na majiran zetu wa shy jamani sio sealed ni threads
Hiyo "Rooo" ulimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom