Wasukuma bwana. Crusher wanaita karasha.kuna jamaa mjoma hivi baada ya kusema fire extinguisher alikuwa anasema fire tingisha.. nilitamani kucheka ika ndio hivyo ni mtu na heshima zakeπ π π
Washa edit bana,ila wasukuma ndio kabila la watani wa taifa.wakwe zangu lazima waumie kichwa kunielewaa
Hiyo "Rooo" ulimaanisha nini?Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed.
Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh
Nikajua threads... Rooo tuwakumbushee na majiran zetu wa shy jamani sio sealed ni threads