Waswahili na huduma zetu

Waswahili na huduma zetu

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Tunapumua Mungu ni mwema.

Basi nikajiendea town si mara moja wala mbili, tatu au nne ni mara kibao biashara nyingi sana za Kiswahili unaingia dukani mtu anaongea.na simu ukikaza sikio anajadili Simba na Yanga au mambo ya kifemilia kama sio familia.....hajalia ununue uache.

Mwingine nyodo juuu anauza kama hataki vile watu wamejazana ofisini kwa mtu kujadili mpira.....mwenye ofisi anaona ni sawa......kunaandikwa kuna huduma fulani ukienda hakuna...hivi kutafuta chenchi ni wajibu wa mteja au muuzaji?

Kwa wenzetu rangi nyeupe mambo ni tofauti ukiingia wewe ni mfalme unajisikia kwl mtu ameheshimu riziki nilompatia hapo tuna la kujifunza.

Mimi pesa naitafuta kwa tabu kwahiyo kuitoa kwakwe kwakweli nitaitoa kwa anayeheshimu uwepo wangu kwenye enso lake la kazi.....ndiyo sinunui wala sio mgawa riziki ila ndio hivyo.

Tujifunze kwa wenzetu ukifika anakuelezea utapata na discount gani and blahhhh blahhh...na hili nalo.
 
Nilishawahi kulisema hili customer care ki mtaa mtaa ni jambo bovu kinyama!, mtu anakuona kama vile wewe ndo unashida sana na huduma yake!! wakati sote tunategemeana!.
 
Tunapumua Mungu ni mwema.
Basi nikajiendea town si mara moja wala mbili, tatu au nne ni mara kibao..... biashara nyingi sana Za Kiswahili unaingia dukani mtu anaongea.na simu ukikaza sikio anajadili simba na yanga au mambo ya kifemilia kama sio familia.....hajalia ununue uache.....mwingine nyodo juuu anauza kama hataki vile.....watu wamejazana ofisini kwa mtu kujadili mpira.....mwenye ofisi anaona ni sawa......kunaandikwa kuna huduma fulani ukienda hakuna...hivi kutafuta chenchi ni wajibu wa mteja au muuzaji?
Kwa wenzetu rangi nyeupe mambo ni tofauti ukiingia wewe ni mfalme unajisikia kwl mtu ameheshimu riziki nilompatia hapo tuna la kujifunza
Mimi pesa naitafuta kwa tabu kwahiyo kuitoa kwakwe kwakweli nitaitoa kwa anayeheshimu uwepo wangu kwenye enso lake la kazi.....ndiyo sinunui wala sio mgawa riziki ila ndio hivyo...
Tujifunze kwa wenzetu ukifika anakuelezea utapata na discount gani and blahhhh blahhh...na hili nalo..,.........
BONGO BAHATI MBAYA

Karibu ulaya
 
Kuna duka moja sehem flan..huyo bwana duka ni boda boda aliye jipata kidogo asee nianatukana huyo ana nyodo kama dem..mbeya mbeya ..na ana kipara kilicho komaa sahv kafungua na banda la mpira ndo vurugu kabisa..sahv nampita simuungishi kabisa
 
Eti mkuu pesa utafute kwa tabu bado uitumie kwa tabu mimi Bwana ukinionyesha dharau namalizia na kusudi......siku moja nimeenda mahala kuna sare inahitajika ya t.shirt...kwahivo kufika kuulizia design kama tatu naona muuzaji kavimbisha mdomo nikamshukuru nikasogea pemben kuna mchaga alinisemesha vizuri sana akanipa na uhuru kuchagua ananisikiliza mwisho wa siku nikampa order pc 20 nikamuunganisha na wenzangu wa groups nyingine yule mwingine akishuhudia....... Usidharau mtu huwezi jua nyuma amekubebea wateja wangapi sasa hii kitu hawaelewi.
 
Wewe unakwenda na Pesa kubwa kwenye huduma yenye pesa kidogo unategemea nini ?

Unaongelea ngozi nyeupe huko Uingereza ukipanda basi ambalo ni self service (achana na customer care) lazima uwe na correct coins hauna usipande...

Kuna Pubs kibao self service unachukua mwenyewe unakwenda kunywa.., huku mteja unataka Barmaid akuletee na kabla haujamlipa uanze kumkebehi...

Kuna maduka ya wahindi mchana walikuwa wanafunga wanakwenda kula au kulala kidogo ghorofani...; Thus kama mtu una imani na product yako (unatambua kabisa kwamba sio lazima ukitembeze kibaya chako) i.e. respect lazima iwepo ila sio kujishusha au kujitesa mteja mmoja chizi bora asije kuliko kuleta taharuki kwa wengine waliozoea hio hali yao ya uswahilini...
 
Back
Top Bottom