lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Tunapumua Mungu ni mwema.
Basi nikajiendea town si mara moja wala mbili, tatu au nne ni mara kibao biashara nyingi sana za Kiswahili unaingia dukani mtu anaongea.na simu ukikaza sikio anajadili Simba na Yanga au mambo ya kifemilia kama sio familia.....hajalia ununue uache.
Mwingine nyodo juuu anauza kama hataki vile watu wamejazana ofisini kwa mtu kujadili mpira.....mwenye ofisi anaona ni sawa......kunaandikwa kuna huduma fulani ukienda hakuna...hivi kutafuta chenchi ni wajibu wa mteja au muuzaji?
Kwa wenzetu rangi nyeupe mambo ni tofauti ukiingia wewe ni mfalme unajisikia kwl mtu ameheshimu riziki nilompatia hapo tuna la kujifunza.
Mimi pesa naitafuta kwa tabu kwahiyo kuitoa kwakwe kwakweli nitaitoa kwa anayeheshimu uwepo wangu kwenye enso lake la kazi.....ndiyo sinunui wala sio mgawa riziki ila ndio hivyo.
Tujifunze kwa wenzetu ukifika anakuelezea utapata na discount gani and blahhhh blahhh...na hili nalo.