Waswahili walisema "usiige kunya kwa tembo!" Kinachonikuta Sasa!

Waswahili walisema "usiige kunya kwa tembo!" Kinachonikuta Sasa!

Sijui hata nikujibuje tu! Usiite mtu halafu acha mikwara tulia kabisa na Hilo la ukaka hilo nilishakwambiaje..?
😂😂😂nacheka ila naumia
Nikajua tupo wote kumbe mwenzagu upo kwingine
Kweli Dunia Duara😂😭
 
Tatizo hujasema chanzo cha hayo yote usikute wewe ndo mkosaji ndomana kakukata mazima
 
Unajipa moyo. Yani kila anayeachwa au kupuuziwa uwa anapenda kujipa moyo oh no body will treat her like I do... Oh atanikumbuka nimemtndea mengi ... Oh anajifanya tu ila ananiwaza.
Kumbe mwenzako ashasahau anakumbuka tu lako jina.
Just move on mtu kama anakupenda hawezi vumilia hata siku 3.
Well said. Wakati jamaa anajipa moyo, upande wa pili dem anapetiwa petiwa na mshkaji mwingine

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ach ujinga. Mapenzi ya EGO sio kabsa ukisha ona ni kuvibimbiana tu amma anae taka kujishusha jua kabsa amna kitakacho endelea itakua ni ivyo ivyo kila siku
 
Back
Top Bottom