Wataala wa Geography nahitaji ufafanuzi hapa!

Wataala wa Geography nahitaji ufafanuzi hapa!

Tukumbuke dunia inatumia masaa 23.93 hrs to complete one rotation..
na pia inatumia siku 365.26 days kwa revolution moja..
[source;oxford illustrated encyclopedia, vol.8, the universe (1992) ]
 
mwaka mdogo = 365!
Mwaka mkubwa =366!
...
Mzunguko wa kuesabu ni miaka minne = mitatu midogo na m1 mkubwa!
...
Katika huo m1 mkubwa kati ya hiyo mi4 toa siku moja, hapo utapata mwaka = siku 365 na ile siku moja iliyobaki ukiigawa kwa 4 ndio unapata robo!
...
Therefore, one year = siku 365 na robo!

jibu zuri sana kalitoa huyu jamaa.
 
Tumekua tukifundishwa toka primary kuwa mwaka mrefu una jumla ya siku 366 na ule mfupi una siku 365 na robo(1/4).

Sina shida katika mwaka mrefu, tatizo naliona hapo kwenye mwaka mfupi, siku 365 na robo. Hiyo robo siku inakuaje? Maana maisha yangu yote mpaka leo hii sijawahi kuiona hiyo robo siku.

NAOMBENI UFAFANUZI TAFADHALI.

Mwaka mrefu....366 days
Mwaka mfupi....365 days

Robo mara nne ni sawa na moja....hivyo Kila mwaka unaogawanyika kwa nne ni mwaka mrefu.
Siku hiyo moja inayotoufatisha mwaka mrefu na mfupi huonekana mwezi wa pili.
February ina siku 28 katika mwaka mfupi na 29 in mwaka mrefu (Ilikuwa iwe 29 in mwaka mfupi and 30 in mwaka mrefu to make all square)....lakini hiyo siku moja ya February ilihamishiwa August ili kulinganisha miezi ya waandishi wa kalenda July (Julius) and August (Augustine).
 
Back
Top Bottom